Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 1 May 2015

LIMAO LEO LINASIMAMA KATIKA TIBA YA MAFUAMafua ni ugonjwa ambao chanzo chake ni kuathirika kwa mirija ya kichwani ya mfumowa kuvuta pumzi. Athari hizo huletwa na virusi vya aina mbalimbali kupitia kwenye hewa au mavumbi na ni ugonjwa unaoambukizwa kwa haraka sana.


Aidha, njia pekee ya kujikinga na mafua ni kujenga kinga ya mwili kwa kufuata kanuni za afya bora, lakini dawa zote zinazotumika kwa ajili ya kutibu mafua ni kujaribu kumwezesha mgonjwa arudi hali ya kawaida mapema iwezekanavyo.

Moja ya njia itakayoweza kukusaidia leo katika kukabiliana na tatizo hili kutumia limao, ambapo umhusika anapaswa kutengeneza juisi ya limao moja katika glasi ya maji ya uvuguvugu.

Kisha koroga vizuri na kunywa polepole na unatakiwa kutumia tiba hii asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu.  Unaweza kufika Mandai Herbalist Clinic endapo unasumbuliwa na magonjwa yoyote na hakika utapata tiba nzuri na sahihi na kupona kabisa shida inayokusumbua. Kliniki ipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.Au piga simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com 


No comments:

Post a Comment