Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 13 May 2015

MAMBO YAMSINGI YATAKAYOKUFANYA UWE NA AFYA BORA


Wengi wetu tunapoamka vizuri, na kujikuta tuna afya njema huwa tunamshukuru Mwenyezi Mungu, lakini hiyo yote ni kwasababu afya bora ni moja ya vitu vya thamani kwetu.


Hivyo fanya haya ili kuimarisha na kuboresha afya yako zaidi na kujenga mwili imara na wenye nguvu

A. Jaribu kupunguzo kula nyama (hasa nyama nyekundu kama ya ng’ombe, mbuzi n.k) na badala yake pendelea kutumia zaidi mboga za majani.


B. Weka jitihada zaidi katika kupunguza utumiaji au kula vyakula vyenye chumvi nyingi

C. Punguza matumizi ya vyakula vyenye sukari nyingi na badala yake ongeza mapenzi zaidi katika ulaji wa matunda kwa wingi.

D. Punguza kutumia kilevi (pombe) au acha kabisa ikibidi na badala yake ongeza juhudi kwa kunywa maji na juisi asilia za matunda.

E. Epukana na kuwa na wasiwasi au hofu badala yake pumzisha mwili wako kwa kulala mahali safi, tulivu, penye hewa ya kutosha na kwa muda wa kutosha. Inashauriwa kulala masaa 6 hadi 8 kwa siku.

F. Jaribu kupunguza kuwa na hasira badala yake penda kutabasamu na kucheka kwa furaha kila unapofurahishwa

Acha kuteseka na magonjwa anza kupenda afya yako kwa kufika Mandai Herbal Clinic sasa tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam . Tupigie simu namba zifuatazo, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment