Sunday, 17 May 2015

MATUMIZI YA TANGAWIZI NI KIBOKO


Tangawizi ni kiungo chenye harufu nzuri hususani pale kinapowekwa kwenye chai, lakini pia wengine hutumia kiungo hiki hata katika baadhi ya mboga.

Ukweli ni kwamba tangawizi imekuwa na uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa mengi na imekuwa ikionesha matokeo mazuri kwa wale ambao huitumia vizuri.

Tangawizi huweza kufanya vizuri zaidi pale inapochanganywa na asali.

Kimsingi tangawizi tunaweza kuiita ni kiboko ya magonjwa mengi yakiwemo yale sugu na kama unahitaji kuamini kuwa kiungo hiki (tangawizi) ni kiboko ya magonjwa basi ungana na Dk, Mandai leo Jumapili ya tarehe 17/ 05/2015 kuanzia saa 1:25 jioni kupitia Star Tv hapo ndipo utapata kuamini kuwa tangawizi ni kiboko kwa kutibu magonjwa sugu.

Kama ungependa kuwasiliana nasi zaidi kwaajili ya kufahamu chochote kuhusu huduma zetu unachopaswa kufanya ni kutupigia simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Au Barua pepe: dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment