Mchai chai ni moja ya kiungo ambacho
huwekwa kwenye chai kwa lengo la kuongeza ladha katika kinywaji hicho.
Pamoja na kuongeza kwake ladha pia
mchai chai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupambana na athari mbalimbali
tumboni.
Matumizi ya chai iliyowekwa
mchaichai hurahisisha utaratibu wa mmeng’enyo wa chakula, huku ikisaidia sana
katika kutibu magonjwa ya kuhara na maumivu ya tumbo pamoja na tatizo la kujaa gesi.
Mbali na hayo, Pamoja na hayo, mchai
chai huweza kutatua kwa kutumi tatizo la minyoona kutuliza maumivu ya kiuno na
nyonga kwa nyuma.
Ikiwa
unasumbuliwa na magonjwa sugu unaweza kukutana na Dk Abdallah Mandai sasa na
ukapata ufumbuzi wa matatizo yako, kliniki ipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar
es Salaam na inaitwa Mandai Herbal Clinic au unaweza kupiga simu namba 0758 163 818, 0672 060 006, Barua pepe,
dkmandaitz@gmail.com
No comments:
Post a Comment