Thursday, 21 May 2015

SABABU 8 ZITAKAZO KUSUKUMA KUNYWA JUISI YA UKWAJUHusaidia katika myeyusho wa chakula na mmen’genyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwaJuisi yake ni chanzo kizuri cha Vitamini B na C

Husaidia kuulinda mwili dhidi magonjwa kama mafua na kero za mafua kooni

Husaidia kurahisisha choo kwa wale wenye matatizo ya kupata choo

Chanzo kizuri cha viua sumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)

Husaidia kushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo

Hupunguza wingi wa lehemu mwilini (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo

Husaidia kuwa na ngozi nzuri na nyororo.

Ikiwa ungependa kufika Mandai Herbalist Clinic na kufahamu mengi zaidi kuhusu mimea tiba, mitishamba, nafaka  na matunda ni vyema ufanye mawasiliano nasi kupitia 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Namba zetu hizo pia zinapatikana kwenye whatsapp. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam  
No comments:

Post a Comment