Wednesday, 27 May 2015

TABIBI MANDAI LEO KWENYE HII VIDEO ANAKUELEZEA NAMNA VITU ASILIA VINAVYOWEZA KUWASAIDIA WALE WENYE UPUNGUFU WA KINGA MWILINI. KARIBU

Tabibu Abdallah MandaiVideo hiyo ni sehemu ya kwanza lakini kama ungependa kutazama muendelezo wa somo hilo endelea kuwa karibu na tovuti hii kila siku ndugu msomaji wetu

Kama una swali au maoni wasiliana na Tabibu Mandai kwa namba za simu zifuatazo; 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300 Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment