Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 9 May 2015

TANGAWIZI HUSAIDIA SANA KUONDOA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI


Mara nyingi wakati wa hedhi, kusikia maumivu kidogo, kukosa raha, kubana kwa misuri ya mapaja na migu, zotehizo huwa ni dalili za kawaida.

Lakini wakati mwingine hali huwa inakuwa mbaya zaidi ambapo mhusika anapopata maumivu makali ya mgongo, tumbo na hata maumivu wakati wa kutoa damu.

Tangawizi inaweza kuwa suluhisho ya tatizo la maumivu makali wakati wa hedhi kwako mwanamke.

Unachotakiwa kufanya ni kupondaponda tangawizi mbichi, kisha chemsha maji ya kutosha kwa dakika kumi. Ongeza sukari kidogo halafu chuja.

Tumia glasi moja ya maji hayo mara tatu kwa siku hususani mara baada ya kula.

Matibabu haya ni vyema yakaanza siku tatu kabla ya hedhi na kipindi chote cha hedhi.
  
Asante kwa kuendelea kuwa karibu nasi, lakini kama unatatizo lolote la kiafya unaweza kuonana na Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbal Clinic, Dk, Abdallah Mandai kila siku ya Jumatatu hadi Jumapili ofisi, Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au piga simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment