Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 18 May 2015

TENDE HUSAIDIA KULINDA AFYA YA MOYO


Tende ni maarufu sana katika nchi za arabuni na ukanda wa mwambao wa Tanzania.

Tende nazo ni miongoni mwa vyakula vyenye faida kubwa mwilini. Moja ya sifa ya tende ni ule uwezo wake wa kuupa nguvu mwili na ndio maana tende zimekuwa zikitumika sana wakati wa mfungo.

Pia tende inauwezo wa kuusaidia moyo dhaifu na kuupa nguvu, hivyo wale wenye matatizo ya moyo kukosa nguvu tende zitawasaidia.

Halikadhalika tende ni mlo tosha na unaopaswa kuwepo katika orodha ya milo yetu ya kila siku ikibidi.

Kimsingi ni vyema katika maisha tunayoishi hivi sasa hatuna budi kuzingatia ulaji wa vyakula mchanganyiko vya asili na kuacha kupenda kula vyakula visivyokuwa na faida katika miili yetu ambavyo mara nyingi tunapenda kuvila, kwa sababu ni vitamu tu mdomoni.

Acha kuteseka na magonjwa anza kupenda afya yako kwa kufika Mandai Herbal Clinic sasa tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam . Tupigie simu namba zifuatazo, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment