Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 12 May 2015

UFAHAMU MMEA AMBAO UNAUWEZO WA KUTIBU MALARIA HAPA


Kuna baadhi ya mimea si rahisi kukutana nayo katika mazingira yetu ya kawaida na hata pale unapokutana nayo basi itakuwa ni ngumu kutambua kama ni tiba au laa!

Mfano mzuri ni huu mmea uitwao ‘artemisia’ ambao unaonekana kwenye picha hapo juu, nimejitahidi kutafuta kiswahili chake kizuri bila mafanikio, lakini kimsingi huu mmea unapatikana hata hapa nchini hususani katika mikoa ya Iringa na Tanga hasa katika milima ya Usambara.

Nguvu kubwa iliyotusukuma na kutushawishi leo hii kukujuza japo kwa uchache kuhusu mmea‘artemisia’ huu ni kutokana na uwezo wake wa kutibu ugonjwa wa malaria, ambao umekuwa ukisababisha vifo vya watoto wengi wenye umri chini ya miaka mitano pamoja na kinamama wajawazito.

Mmea huu unaelezwa kuwa na uwezo mkubwa wa kupambana dhidi ya malaria za aina zote kwa binadamu.

Aidha, pia inaelezwa kuwa mmea huu unauwezo wa kukabiliana na seli mbaya ambazo huweza kusababisha saratani mwilini, huku ikiweza pia kukabiliana na bakteria pamoja na matatizo mbalimbali ya fangasi.

Unapofika kwetu Mandai Herbal Clinic utapata dawa ambayo inatokana na mmea huo wa ‘artemisia’ ikiwa tayari imeandaliwa vizuri kwaajili ya matumizi yako kama tiba.
Tunapatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam Au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo; 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment