Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 16 May 2015

UFAHAMU UWEZO WA BILINGANYA KATIKA TIBA


Jumamosi nyingine tena ya mwezi huu wa tano tukiendelea kujuzana mambo mbalimbali kuhusu mimea, matunda na nafaka juu ya uwezo wake katika tiba.

Weekend hii napenda kukufahamisha haya machache kuhusu matumizi ya bilinganya kama tiba.

Bilinganya inaelezwa kuwa na uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo.

Wale wenye tatizo la kukosa usingizi hushauriwa kula bilinganya kwa wingi.

Bilinganya inapotengenezwa na kuwa juisi husaidia sana kuondoa sumu mwilini kwa njia ya mkojo.

Mizizi ya bilinganya inapochemshwa huwa ni tiba ya minyoo

Acha kuteseka na magonjwa anza kupenda afya yako kwa kufika Mandai Herbal Clinic sasa tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam . Tupigie simu namba zifuatazo, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment