Saturday, 23 May 2015

UWEZO WA MTOPETOPE KWA WANAWAKE


Mtopetope ni moja ya mti ambao unaelezwa kuwa na maajabu makubwa katika tiba.

Mti huu ulitumiwa na wazee katika kutibu magonjwa mbalimbali kipindi cha miaka mingi iliyopita.

Mtopetope ni miongoni mwa maelfu ya aina nyingi ya miti ya asili ambayo huota katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Mti huu pia huweza kuota katika maeneo ya mabondeni au hata milimani na unauwezo mkubwa katika kutibu maradhi mbalimbali.

Miongoni mwa magonjwa ambayo mti huo unaweza kuyatibu hata sasa ni pamoja na ya wanawake hasa ya sehemu za siri.

Dk. Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbal Clinic, anasema wanawake wanaotoa maji yenye muwasho na mengine yenye rangi ya maziwa sehemu za siri wanaweza kutibiwa na mti huu na kupona kabisa.

Dk, Mandai, anasema kuwa mara nyingi wanawake kutokana na maumbile yao wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya magonjwa hayo.

Aidha, anasema kwamba mti huo pia unaweza kurudisha sehemu za siri za mwanamke zilizoharibika hususani wakati wa uzazi.


Kama ungependa kufahamu zaidi kuhusu tiba ya mmea huu unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa mawasiliano yafuatayo; 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment