Friday, 29 May 2015

ZIFAHAMU HIZI FAIDA CHACHE ZA KAROTIKaroti ni moja ya kiungo kizuri cha vyakula mbalimbali na huleta ladha nzuri pia.

Kuna hizi faida chache za karoti nimependa kushare na wewe na miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kushusha kolestro mbaya mwilini, kupunguza unene na kuimarisha nuru ya macho.

Pia karoti husaidia sana kuimarisha shinikizo la damu na inatoa kinga kwenye figo pamoja na kuimarisha sukari mwilini. Hivyo ni vyema kuzingatia kula karoti kadri unavyoweza.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa mawasiliana yafuatayo: 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300 Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri na matibabu ya magonjwa mbalimbali sugu.

No comments:

Post a Comment