Thursday, 18 June 2015

ANZA KUWA NA MUONEKANO MZURI SASA KUANZIA NYWELE ZAKO HADI NGOZI KWA KUTUMIA BIDHAA MPYA HII KUTOKA MANDAI HERBALIST CLINIC

Mandai Herbalist Clinic inapenda kutambulisha bidhaa mpya ambazo zitakufanya kuwa na muonekano mzuri kuanzia ngozi hadi nywele zako.

Mandai Organic hii shampoo ambayo utatumia kwa kusafishia nywele zako na kuziacha zikiwa safi kabisa, pia huondosha mba na ukoko wa mba, huondoa muwasho, inakuza na kurefusha nywele pamoja na kulainisha nywele zile zenye kipilipili. Shampoo hii inafaa kwa watu wa rika zote.
Sabuni ya Ndai Fruity Soap (katikati) hii ni sabuni yenye uwezo wa kuondosha chunusi sugu, mabaka ya chunusi, fangasi aina zote, mapunye, harara na ukurutu, ngozi iliyoharibika na cream, inauwezo wa kukukinga na jua, hung'arisha na kulainisha ngozi ni nzuri sana kwasababu aina kabisa kemikali.
Haya ni mafuta yenye Glyesine ndani yake na yanauwezo wa kulainisha ngozi, kuondoa mikunjo,  harufu mbaya mwilini, kufanya ngozi kuwa nyororo, huondoa mpausho wa ngozi na kuweka muonekano wa ngozi yako kuwa mzuri na wenye mvuto
Mafuta haya yaitwa Mandai Fruity Nature Hair Food husaidia kukuza nywele na kuzuia kukatika, huondoa muwasho wa kichwani, hung'arisha na kupendezesha nywele na kuondoa mba ukoko pamoja na kufanya nywele kuwa nyeusi
Ikiwa unahitaji bidhaa yoyote kati ya hizo hapo juu wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika moja kwa moja ofisini Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment