Monday, 22 June 2015

DK. MANDAI AKIELEZEA NAMNA YA KULA VIZURI

Suala la mpangilio wa kula ni moja ya mambo ya kuzingatia sana ili kuwa na afya njema

Ndio maana hapa napenda kukutanisha na Tabibu Mandai kwa hizi dakika 4 ili uweze kuyafahamu machache kuhusu masuala ya mpangilio wa kula hasa katika mwezi huu mtukufu wa mfungo wa Ramadhani

No comments:

Post a Comment