Friday, 19 June 2015

DK MANDAI LEO ANAKUFAHAMU NAMNA MITINDO YA MAISHA INAVYOWEZA KUKUINGIZA KATIKA MAGONJWA (VIDEO)


Habari za leo mpendwa mdau na mfuatiliaji wa www.dkmandai.com. Asante kwa kuendelea kuwa karibu nasi kwa kufuatilia mambo mbalimbali kupitia tovuti hii.

Leo nimeona ni vyema nikupe nafasi ya kutazama kipindi  cha Mandai Afya.Com ambapo Tabibu Mandai atakupa fursa ya kufahamu namna mitindo ya maisha inavyoweza kukuingiza katika matatizo mbalimbali ya kiafya.

Moja ya mambo ambayo amezungumzia Tabibu Mandai ni pamoja na umuhimu wa kunywa maji pamoja na faida zake kiafya, pia atagusia kuhusu matumizi ya matunda.

Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo sugu ni vyema ukafanya uamuzi sahihi wa kufika Mandai Herbalist Clinic ili kuonana na Tabibu Abdallah Mandai na kuweza kupata matibabu sahihi. Unaweza kupiga simu namba; 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika moja kwa moja ofisini Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.  

No comments:

Post a Comment