Wednesday, 24 June 2015

FAHAMU KUHUSU MDALASINI NA ASALI KATIKA TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

Mdalasini ni moja ya kiungo ambacho hutumika katika mapishi mbalimbali jikoni, lakini kiungo hiki pia ni tiba.

Mdalasini pale unapochanganywa na asali huweza kuwa tiba kwa wale wenye matatizo ya vidonda vya tumbo.
Dkt Abdallah Mandai akiwa ofisini kwake tayari kabisa kwa kuanza kutoa huduma kwa wagonjwa

Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic hapa anakufafanulia ni kwa namna gani mdalasini na asali huweza kuwa tiba ya vidonda vya tumbo. Bonyeza play hapo chini ili kumsikiliza Dk Mandai.....

No comments:

Post a Comment