Wednesday, 10 June 2015

FAHAMU KUHUSU TIBA ASILIA YA UGONJWA WA MALARIA KUTOKA KWA TABIBU MANDAI KWA KUTAZAMA KIPINDI HIKI

Mmea wa Artemisia wenye uwezo wa kutibu ugonjwa wa Malaria
Malaria ni moja ya ugonjwa ambao umekuwa ukisababisha vifo vya watu wengi barani Afrika hususani watoto wenye umri wa miaka mitano, lakini leo Dk. Abdallah Mandai anakufahamisha namna mime asilia inavyoweza kutibu ugonjwa wa malaria.

Karibu utazame video hii hapa chini ambapo Tabibu Mandai ana mengi ya kukuelezea kuhusu ugonjwa wa Malaria na tiba yake pia.

Kama unasumbuliwa na magonjwa mengine yoyote yakiwemi yale sugu wasiliana sasa na Tabibu Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.

No comments:

Post a Comment