Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 28 June 2015

FAHAMU UMUHIMU WA STAFELI (MTOPETOPE) KATIKA TIBA


Stafeli ni tunda ambalo hupatikana katika mikoa ya Tanga, Iringa, Mbeya, Morogoro na baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es Salaam.

Tunda hili linaelezwa kuwa na uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali ikiwamo saratani.

Kwa mujibu wa Jarida la Kemia na madawa la nchini Marekani la mwaka 2010 linaeleza kuwa tunda hili la Stafeli au Mtopetope kuwa lina uwezo wa kuangamiza chembe hai zenye saratani pasipo kusaleta madhara katika mwili.

Taasisi ya utafiti wa Saratani ya Nchini Uingereza (NIR) ilifanya utafiti wa kwanza kuhusu maajabu ya stafeli mwaka 1976 na kubaini kuwa majani, mizizi na tunda la stafeli, vyote vina uwezo wa kutibu saratani.

Hayo ni machache kuhusu stafeli, lakini kama ungependa kuyafahamu mengine zaidi kuhusu tunda hili basi hakikisha unatazama Star Tv leo Jumapili ya tarehe 28/ 06/ 2015 ifikapo saa 1:25 Usiku hadi saa 2:00 Usiku na utapata kufahamu namna tunda hilo linavyoweza kutibu magonjwa mbalimbali kutoka kwa Tabibu Mandai kwani atakuelezea mengi zaidi.
  
Unaweza kutupigia simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment