Tuesday, 9 June 2015

FAIDA SITA UNAZOWEZA KUZIPATA KWA KUTUMIA CHENZA


Habari za leo mpendwa msomaji wa www.dkmandai.com karibu katika muendelezo wetu wakufahamishana mambo mbalimbali kuhsusu mimea tiba, matunda, na nafaka pia.

Leo hii nimeona ni vyema nishirikiane na wewe mdau wangu katika mambo haya 7 ambayo unaweza kuyapata endapo utatumia chenza.

Kwanza chenza linasaidia kuongeza nguvu katika misuri.

Ni chanzo kizuri cha vitamin C.

Husaidia kuzuia uvujaji wa damu katika fizi.

Huimarisha mifupa.

Husaidia kupunguza maumivu ya viungo.

Ni msaada pia kwa wale wenye kusumbuliwa na baridi yabisi.

 Ikiwa ungependa kuonana nasi kwa ajili ya matibabu au ushauri kutoka kwetu Mandai Herbalist Clinic. Tafadhali wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.

No comments:

Post a Comment