Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 30 June 2015

JE, MATUMIZI YA VILEO VIKALI, SIGARA NA BANGI KWA MAMA MJAMZITO YANA MADHARA GANI? MAJIBU YA SWALI HILI YOTE YALIPATIKA BUNGENI (SAUTI)


Suala la wanawake wajawazito kutumia vileo vikali kuvuta bangi na sigara ni moja ya mambo ambayo yamekuwa yakikemewa na kupingwa sana na wataalam wa afya.

Lakini kuna baadhi ya wanawake ni wajawazito na bado wanatumia vitu vyote hivyo au kimoja kati ya hivyo vilevi wakati wakiwa katika hali ya ujauzito.

Suala hili likamsukuma Mbunge Kidawa Hamid Salehe jana June 29 kuuliza swali kuhusu hilo Bungeni.


Swali hilo likatolewa majibu na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Steven Kebwe.

Bonyeza 'play' hapa chini ili kusikiliza masibu ya naibu waziri yalivyokuwa . Endelea kuwa karibu nasi kila siku ili kupata taarifa mbalimbali, kumbuka pia kama unahitaji kutangaza nasi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300 Au barua pepe: dkmandaitz@gmail.com. Karibu gharama zetu ni rahisi sana.

No comments:

Post a Comment