Tuesday, 16 June 2015

JE, UNGEPENDA KUJUA PROF IBRAHIM LIPUMBA ALIPOTAKIWA KUZUNGUMZA KATIKA MSIBA WA MUFTI SHEIKH ISSA SHAABAN BIN SIMBA ALISEMA NINI? VIDEO IPO HAPA

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof Ibrahim Lipumba

Leo kulikuwa na dua maalum katika viwanja vya ofisi za BAKWATA jijini Dar es Salaam kwaajili ya kumuombea marehemu Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Shaaban Bin Simba, zoezi ambalo limehudhuriwa na waumini wa dini ya kiislam na wananchi kwa ujumla sambamba na viongozi wa kidini na kisiasa.

Mmoja wa wanasiasa ambao alikuwepo katika kumuombea zoezi hilo ni pamoja na Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Pro .Ibrahim Lipumba.

Nina hiki kipande kifupi cha video ya dakika moja na sekunde 17 ambapo Prof. Lipumba alipata fursa ya kuzungumza machache katika zoezi hilo. Karibu utazame hapa chini..
Endelea kuwa karibu nasi kwa taarifa mbalimbali kutoka tovuti hii ya www.dkmandai.com, lakini inapofika wakati utajisikia haupo vizuri kutokana na kuumwa basi wasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.  

No comments:

Post a Comment