Wednesday, 3 June 2015

JUISI YA TUFAHA DHIDI YA MATATIZO YA MAWE KWENYE FIGO


Tatizo la mawe kwenye figo ni tatizo ambalo hutokana na ulaji wa vyakula usio faa.

Mawe hayo siyo mawe halisi, bali huwa ni vitu vinavyojitengeneza kwenye figo taratibu na baada ya muda mrefu hugeuka kuwa umbo na kuwa mfano wa vijiwe vidogo.

Tatizo hili mara nyingi hutibiwa kwa njia ya upasuaji kisha kutoa mawe hayo.

Upasuaji huo kwa kawaida hugharimu fedha nyingi, huku ukisababisha maumivu kwa mhusika.

Lakini leo nitakueleza namna unavyoweza kupata ahueni kwa kutumia tiba mbadala ya mimea na matunda na kuepuka upasuaji huo.

Unachopaswa kufanya ni kuhakikisha unapata juisi yako halisi ya matunda ya matufaha (apple) kunywa glasi kubwa nne kila siku ndani ya kipindi cha wiki moja mfululizo.

Zingatia kuwa juisi hiyo ni ya matunda halisi kabisa ya tufaha na ni vyema ukapata yale yenye rangi ya kijani na nivizuri ukatengeneza juisi hiyo wewe mwenyewe nyumbani.

Kwa kufanya hivyo itakusaidia sana kulainisha mawe tumboni.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa mawasiliana yafuatayo: 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300 Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri na matibabu ya magonjwa mbalimbali yakiwemo yale sugu.

No comments:

Post a Comment