Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 28 June 2015

JUMAPILI YA LEO TABIBU MANDAI AMEPENDA KUKUELEZA HIZI FAIDA ZA MZAITUNI KATIKA TIBA


Uhali gani mdau wetu karibu katika muendelezo wa kujifunza namna mimea tiba inavyowez kuwa na manufaa katika afya zetu.

Katika Jumapili ya leo ninayofuraha kukutanisha na Tabibu Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic, ambapo atazungumzia namna mmea wa mzaituni unavyoweza kuwa suluhisho la magonjwa yako.

Pata nafasi ya kumsikiliza Tabibu Mandai hapa chini akielezea umuhimu wa mmea wa mzaituni katika tiba,,No comments:

Post a Comment