Tuesday, 23 June 2015

KAMA UNAJIULIZA NI VIPI UTAWEZA KUJENGA AFYA YAKO, BASI JIBU LAKO UTALIPATA HAPA KUTOKA KWA TABIBU MANDAI (SAUTI)


Imekuwa ni kawaida ya wengi wetu kuishi kwa mazoea bila kuzingatia kanuni za afya hususani katika masuala ya kuzingatia mlo.

Lakini ni wazi kwamba ulaji mbovu wa vyakula huweza kumpelekea mtu katika matatizo mbalimbali ya kiafya ambayo baadaye huweza kumgharimu mhusika kwaajili ya matibabu.

Hivyo siku zote wataalam wa afya wamekuwa wakishauri kufuata kanuni za ulaji bora ikiwa ni pamoja na vyakula vyenye virutubisho na vitamin nyingi kutokana na vyakula hivyo kuwa na umuhimu mkubwa katika afya.

Naomba tumia dakika hizi sita kuweza kumsikiliza Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic akikufahamisha mambo muhimu na ya msingi katika masuala ya afya yako pamoja na mpangilio wa mlo.

Pia Dk Mandai atagusia kuhusu tatizo la kukosa choo pamoja na umuhimu wa kula vyaukula vyenye asili ya mizizi kama mihogo, viazi nkNo comments:

Post a Comment