Friday, 5 June 2015

KAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO LA MBA ZA MWILINI, BASI KITUNGUU MAJI KITAKUFAA


Habari za wakati huu mpendwa msomaji wa www.dkmandai.com asante na karibu tuendelee kujuzana mambo mbalimbali kuhusu tiba.

Leo nimeona ni vyema nikwambie namna unavyoweza kujitibu tatizo la mba mwili kwa kutumia kitunguu maji.

Kuna baaadhi ya watu wamekuwa wakisumbuliwa sana na tatizo la mba katika miili yao jambo ambalo hupelekea kuharibika kwa ngozi zao nakufanya kutoonekana nadhifu.

Lengo kubwa ni zile mba ambazo mara nyingi hupatikana sehemu za juu ya mwili, usoni na shingoni. Sasa kinachotakiwa ni wewe kuandaa juisi ya kitunguu maji kisha kunywa glasi tatu ya maji ya kitunguu kila siku na kupaka kitunguu maji sehemu zote zilizoathirika na mba.

Tumia tiba hii kwa muda wa siku kumi hadi kumi na nne.

Unaweza kuwasilina nasi kwa namba za simu zifuatazo 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.

No comments:

Post a Comment