Wednesday, 10 June 2015

KIMONDO DAWA MOJA YENYE UWEZO WA KUTIBU MAGONJWA MENGI IKIWEMO U.T.I

Kimondo hii ni moja ya dawa inayopatikana Mandai Herbalist Clinic
Kimsingi dawa hii ya Kimondo ni moja ya dawa nzuri sana kutoka kwetu Mandai Herbalist Clinic na ni dawa itokanayo na mitidawa.

Kimondo imechanganywa kitaalam kabisa na inauwezo mkubwa wa kutibu magonjwa sugu kama vile U.T.I.

Pia dawa hii inauwezo mzuri wa kumaliza uvimbe ndani ya mfuko wa uzazi yaani 'fibroid'


Halikadhalika dawa hii husaidia sana kuongeza kinga za mwili, kusafisha tumbo na kutibu minyoo pia.

Ikiwa ungependa kuipata dawa hii kwaajili ya tatizo lolote tajwa hapo juu basi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.

No comments:

Post a Comment