Wednesday, 3 June 2015

KITUNGUU SWAUMU KINA SIFA YA KUTIBU MATATIZO MENGI HAPA LEO NI KUHUSU MINYOO


Kitunguu swaumu ni moja ya viungo vyenye uwezo mkubwa katika tiba na kimekuwa na sifa ya kutibu magonjwa mbalimbali.

lakini huenda umekuwa ukisumbuliwa na tatizo la minyoo mara kwa mara na umeshajaribu kutumia dawa bila mafanikio.

Hebu jaribu kutumia hii ya kitunguu swaumu, unachopaswa kufanya ni kuchukuwa kitunguu swaumu kisha loweka ndani ya maji kiasi cha glasi moja.

Baada ya masaa mawili kunywa maji hayo, lakini ni vyema ukahakikisha tiba hii inafanyika kabla ya kula chakula cha aina yoyote.

Utatakiwa kurudia tiba hii kwa muda wa siku saba mfululizo na kumbuka kuwa tiba hii husaidia kumaliza tatizo la minyoo ya aina yote.

Kama ungependa kuuliza zaidi au kupata ushauri kutoka kwetu Mandai Herbalist Clinic basi wasiliana nasi kwa simu namba: 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.

No comments:

Post a Comment