Saturday, 20 June 2015

LEO DK MANDAI AMEAMUA KUKUELEZEA SIFA ZOTE ZA BOGA, KUANZIA, MAJANI , MAUA, MBEGU, MIZIZI HADI BOGA LENYEWE PITIA HAPA ( VIDEO)Boga ni moja ya chakula ambacho tumeshazungumzia mara kadhaa sasa kuhusu sifa zake na uwezo wake katika kutibu matatizo mbalimbali ya kiafya yanayotukabili wanadam katika maisha yetu ya kila siku.

Ninayofuraha leo kukutanisha na Tabibu Abdallah Mandai kutoka  Mandai Herbalist Clinic ambapo kupitia video hii atakwenda kukuelezea kwa undani zaidi namna boga linavyoweza kutumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali kuanzia maua yake, majani, mizizi, boga lenyewe pamoja na mbegu zake pia.

Karibu utazame video hiyo hapa.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi au ushauri, piga simu namba  0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment