Friday, 5 June 2015

MANDAI HERBALIST CLINIC TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZETU KWAAJILI YA KUHAKIKISHA USALAMA WA AFYA YAKO

Furaha yetu ni pale tunapoona unafika kwetu na kupata huduma nzuri za kiafya na kurejea katika afya nzuri.

Fika sasa Mandai Herbalist Clinic ikiwa unasumbuliwa na maradhi mbalimbali yakiwemo yale sugu

Tunauwezo mkubwa wa kutibu magonjwa mengi kwa kutumia mimea tiba, mitishamba, nafaka pamoja na matunda.

Unapofika Mandai Herbalist Clinic utakutana na madhari safi na salama

Sehemu ya kupumzika wagonjwa kabla ya kuingia chumba cha massage

Unapofika Mandai Herbalist Clinic utakutana na vijana wenye uelewa mzuri pia katika kazi zao huyu ni mmojawapo ambaye anapatikana katika Chumba cha Mahojiano hapa Mandai Herbalist Clinic

Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa sugu unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au tupigie simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.Unapofika kwetu basi tambua huo ndio mwisho wa magonjwa yako

No comments:

Post a Comment