Tuesday, 2 June 2015

MATATIZO YA KUKOSA WATOTO YANAWASUMBUA WENGI NI VYEMA UKASOMA HAPA PENGINE INAWEZA KUWA NI SULUHISHO LAKO


Dk. Abdallah Mandai
Asilimia kubwa ya wanawake katika maisha yao yote wanapoishi huwa wanatamani inapofika siku moja waitwe mama nikiwa na maana kuwa wawe na watoto au mtoto na huenda hali ikawa tofauti zaidi pale wanapokosa mtoto kutokana na sababu mbalimbali za kiafya.

Hali inaweza kuwa tofauti kwanza kwa mwanamke mwenyewe kutokana na kukosa raha au furaha ya maisha na huenda hali ikawa mbaya zaidi hasa pale ndugu nao wanapoanza kuongea vibaya juu ya tatizo hilo.

Wanawake wengi wanaokabiliwa na tatizo hili wamekuwa wakiishia kukata tamaa kabisa.

Miongoni mwa wanawake ambaye aliamua kufika kwenye kitengo chetu cha habari hapa Mandai Herbal Clinic na kuzungumza nasi ni Amina Juma ambaye alikuwa na tatizo hilo (kutopata mtoto)  kwa kipindi cha muda mrefu.

Amina yeye kwa sasa ni mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam anasema mwaka 2013 alihangaika kwa muda mrefu sana kutafuta mtoto bila mafanikio hadi kusababisha baadhi ya ndugu zake kuanza kumsema vibaya kutokana na tatizo lake hilo.

Amina anasema kuwa yeye na mume wake walitafuta mtoto kwa takribani mwaka mmoja bila mafanikio na alikuwa akipata maumivu makali upande wake wa kushoto wa tumbo lake ndipo akaamua kwenda hospitali moja (jina tunalo) iliyopo Lindi huko Mkoani Mtwara.

Alipofanyiwa vipimo aligundulika kuwa anauvimbe tumboni na ikabidi afanyiwe upasuaji, lakini baada ya kupona hali ile ya kukosa mtoto ikaendelea na aliporudi hospitali alipimwa tena na ikabainika kuwa mirija yake ya uzazi pia ilikuwa imeziba.

Hata hivyo, Amina anasema kuwa akiwa ameshakata tamaa kabisa, siku moja alikuwa nyumbani kwa dada yake wakisikiliza redio majira ya usiku ndipo alipomsikia Dk. Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic alikuwa akizungumzia juu ya masuala ya matatizo ya uzazi kwa kinamama.

Amina anasema kuwa " nilimsikiliza dokta hadi alipomaliza na kutoa mawasiliano yake, lakini mimi sikuwa najishughulisha kuchukua zile namba za simu, dada yangu yeye alichukua mawasiliano kisha akaanza kunilazimisha  sana twende kwa Dk Mandai."

Amina anaendelea kueleza "baadaye tuliamua kufika Mandai Herbalist Clinic na kufanyiwa vipimo kisha nikapewa dawa ambapo ilikuwa ni tarehe 18/ 02/ 2013 ambazo nilizitumia kwa muda wa wiki mbili zikaisha kisha nikarudi kuchukua dozi ya pili tarehe 23/ 02/ 2013 ambayo nayo nilitumia kwa muda wa wiki mbili zilipoisha tu nikaenda hospitali kupima ujauzito kweli nikaambiwa nina mimba. Aisee!! nilifurahi sana."

Pamoja na hayo Amina alisema kuwa "Nashukuru Mungu saizi nipo na mtoto wangu hapa kama unavyomuona na anaitwa Icraim nilijifungua tarehe 09/ 09/ 2014. Hivyo leo nimekuja hapa kwaajili ya kumshukuru Dk. Mandai kwa kunisaidia kupitia dawa zake hadi na mimi saizi naitwa mama Icraim.

Mbali na hayo mama Icraim alipotakiwa kusema anawambia nini kina mama wengine wanaosumbuliwa na tatizo hilo kwa muda mrefu alisema kuwa " Ukiwa mtaani huwezi amini kuwa tiba mbadala na tiba asilia zinasaidia kweli kama mimi sikuwa naamini kabisa, lakini kwa sasa naamini kwa asilima mia. Hivyo kinamama ambao wanasumbuliwa na tatizo hili nawashauri wafike kwa Dk. Mandai na wao Mungu atawajalia watapata watoto.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za mama Icram baada ya mahojiano na kitengo cha habari.
Kutoka kushoto ni Amina Juma (Mama Icram) akiwa amempakata mtoto wake Icram (kulia) ni Kenneth Maganga ambaye ni msimamizi wa Kitengo cha Habari.


Msimamizi wa masuala ya dawa Ismail akiwa amembeba mtoto Icram

Mandai Herbalist Clinic tunatoa shukrani zetu za dhati pia kwa mama Icraim kwa kuamua kufika ofisini kwetu kutoa shukrani zake, lakini shukrani zaidi ni kwa Mwenyezi Mungu aliyempatia maarifa haya Dk. Mandai kwaajili ya kuwasaida watu wanaoteseka na magonjwa mbalimbali.

Amina ni mmoja tu kati ya kundi kubwa la wanawake ambao tayari wameshafanikiwa kuitwa mama baada ya kutumia dawa zetu kutoka hapa Mandai Herbal Clinic

Ikiwa na wewe pia unahangaika kwa muda mrefu bila kupata mtoto ni vyema ukafika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au tupigie simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.


No comments:

Post a Comment