Friday, 19 June 2015

MOJA YA MAMBO YALIYOSIKIKA LEO BUNGENI NI PAMOJA NA MATUMIZI YA BANGI (AUDIO)


Moja ya mambo ambayo yamezungumzwa leo katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni yamezungumzwa sana ni pamoja na ishu ya matumizi ya bangi.

Nimekurekodia namna ilivyokuwa pata nafasi ya kusikiliza hapa.....
Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo sugu ni vyema ukafanya uamuzi sahihi wa kufika Mandai Herbalist Clinic ili kuonana na Tabibu Abdallah Mandai na kuweza kupata matibabu sahihi. Unaweza kupiga simu namba; 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika moja kwa moja ofisini Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment