Saturday, 6 June 2015

PATA NAFASI YA KUSHUHUDIA MAZISHI YA MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA EUGENE MWAIPOSA LEO (PICHA)

Mbunge wa Ukonga Eugene Mwaiposa amezikwa leo nyumbani kwake Kipunguni jijini Dar es Salaam.

Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakisiasa wakiongozwa na Makam wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal.

Mazishi hayo yamehudhuriwa pia na mamie ya wananchi pamoja na ndugu wa karibu wa marehemu.

Picha zaidi zipo hapa chini

Sala za mwisho wakati wa mazishi

Spika wa Bunge Anne Makinda akiweka shada la maua juu ya kaburi

Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua juu kaburi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akitoa heshima zake za mwisho baada ya kuweka shada la maua juu ya kaburi


Mheshimiwa Stephen Wasira akitoa heshima zake za mwisho mbele ya kaburi

Mmoja wa watoto wa marehemu wakati akisogea kuweka maua juu ya kaburi

Watoto watatu w marehemu wakiweka mashada ya maua juu ya kaburi

Jeneza la Marehem likiwa ndani ya kaburi

Kaburi likifunikwa mara baada ya mazishi


Mandai Herbalist Clinic tunatoa pole sana kwa msiba huu

No comments:

Post a Comment