Wednesday, 17 June 2015

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SAFARI YA MWISHO YA MUFTI ISSA SHABAAN BIN SIMBA


Hapo jana mwili wa aliyekuwa Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Issa Shaaban Bin Simba alizikwa katika makaburi ya Nguzo nane mkoani Shinyanga.

Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi, huku wakiongozwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Nina picha hapa za kutoka mkoani Shinyanga katika maziko hayo


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitupa udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Bin Simba, aliezikwa jana Juni 16, 2015 mkoani Shinyanga kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane
Mh. Edward Lowassa akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa Mkoani Shinyanga.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaaban Bin Simba
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Bin Simba.
Endelea kuwa karibu nasi kwa taarifa mbalimbali kutoka tovuti hii ya www.dkmandai.com, lakini inapofika wakati utajisikia haupo vizuri kutokana na kuumwa basi wasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.  


PICHA ZOTE NIMEZITOA FULL SHANGWE BLOG

No comments:

Post a Comment