Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 30 June 2015

SAFARI HII AFRIKA NAYO IMEONESHA UWEZO WAKE WA UBUNIFU WA MAGARI MAZURI, TAZAMA HAPA GARI AINA YA KANTANKA KUTOKA NCHINI GHANA


Magari aina ya kantanka kutoka Ghana
Kwa kawaida ukizungumzia kuhusu masuala ya utengenezaji wa magari kwa kawaida mataifa ya Afrika huwa hayaorodheshwi kabisa.Lakini dhana hiyo yakutoorodheshwa kwa mataifa ya Afrika huenda likaisha kufuatia kuwasili kwa kampuni ya magari ya Ghana Kantanka ambayo hivi karibuni yataanza kuingia katika soko.
Muonekano wa mbele wa gari Kantanka
Miongoni mwa magari ya kampuni hiyo ni lile la lita mbili aina ya 4 by 4 ambalo linatarajiwa kuuzwa kwa takriban pauni 14,000.


Swali ni je,kampuni hiyo itaweza kukabiliana na ushindani mkubwa kutoka kwa magari kama vile Toyota, Land Rover na BMW?.

Shukrani kwa kuendela kuungana nasi mdau wetu, pia tunapenda kukukaribisha kutangaza biashara yako kupitia website hii, gharama zetu ni nafuu sana. Tupigie simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. 

1 comment: