Wednesday, 10 June 2015

TAZAMA VIDEO HII HAPA UJUE SABABU YA TATIZOLA KUKOSA CHOO NA MENGINE MENGI KUTOKA KWA DK. MANDAI


Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic, Dk. Abdallah Mandai
Kuna wakati huenda huwa  ukawa unajikuta ukipitisha siku mbili au tatu bila kwenda msalani kupata haja kubwa, huenda ukawa haufahamu ni kwanini hali hiyo inakutokea au ilikutokea.

Lakini hapa Dk Mandai anakupa fursa ya kufahamu kuhusu tatizo hilo la kukosa choo ambalo wenzetu wazungu huliita 'consumption'. Karibu utazame kipindi hiki  hapo chini ujifunze mengi pia kuhusu tiba asilia zitokanazo na mimea, matunda, nafaka na mitishamba.


Unaweza kuwasilina na Dk. Mandai kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo yale sugu. Unachopaswa kufanya ni kupiga simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.

No comments:

Post a Comment