Tuesday, 9 June 2015

TUMIA NAFASI HII KUTAZAMA KIPINDI CHA TABIBU MANDAI AKIELEZEA MATATIZO YA FIGO NA MIMEA INAYOWEZA KUSAIDIA TATIZO HILO. KARIBU (VIDEO)

Dk. Abdallah Mandai
Habari za wakati huu mpendwa mfuatiliaji wa tovuti yetu ya www.dkmandai.com karibu katika muendelezo wetu wa kujifunza mambo mbalimbali kuhusu mimea tiba na magonjwa kwa ujumla.

Lakini leo utapata fursa ya kuangalia kipindi cha Mandai Afya.com ambapo Dk Mandai leo ataelezea matatizo ya figo na mimea tiba inayoweza kusaidia figo kutoathirika. Karibu sana utazame video hii hapa chini.


Unaweza kuwasilina nasi kwa namba za simu zifuatazo 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.
No comments:

Post a Comment