Monday, 1 June 2015

UKISOMA SENTESI HIZI CHACHE HUENDA UKAWA NI MWANZO MZURI WA KUMALIZA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KAMA UNALO.


Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni moja ya tatizo ambalo limekuwa likiwasumbua wanaume wengi kwa sasa.

Miongoni mwa sababu ambazo zimechangia kuongezeka kwa tatizo hili ni pamoja na masuala ya mtindo wa maisha hususani namna ya mpangilio wa vyakula.

Leo kuna hizi sentesi chache tu ambazo huenda ukizisoma hapa chini inawezekana ikawa ni mwisho wa tatizo lako hilo la upungufu wa nguvu za kiume na ukarejesha heshima ya ndoa yako kama ilivyokuwa hapo awali au enzi za ujana wako.

Unchopaswa kufanya ni kwenda kwenye duka la lolote la dawa za asili kisha ulizia unga wa uwatu na unga wa arbart soda kisha changanya kwa pamoja unga huo na baadaye utumia mchanganyiko huo kwenye uji mwepesi kwa wiki tatu mfululizo na utaona mabadiliko.

Lakini kama utashindwa kuandaa mchanganyiko huo basi unaweza kufika kwetu Mandai Herbalist Clinic ambapo utapata mchanganyiko huo ukiwa tayari umeandaliwa vizuri kabisa na upo tayari kwa ajili ya matumizi. Pia utapata maelekezo mazuri kutoka kwa wahudumu wetu namna ya kutumia dawa hii. Tunapatikana Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo: 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300 Barua pepe, dkmandaitz@gmail.

No comments:

Post a Comment