Wednesday, 3 June 2015

UWEPO WA POPO KWENYE MTI HUU UKASABABISHA KUITWA MTI WA EBOLA


Mti wa Ebola
Nchini Guinea kuna mti unaodaiwa kusababisha mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ambapo kundi moja la wavulana lilimpeleka mwandishi wa BBC katika mti huu.

Vijana hao walielezea kwamba siku moja waliwasha moto katika mti huo na baadaye walitoka popo wakaanguka kutoka juu ya mti huo.


Inaelezwa kuwa baadaye waliwajaza popo hao katika mifuko na kuwala.wakati huo hakuna mtu ambaye alikuwa amewahi kufariki na mlipuko wa Ebola.

Shukrani za dhati kwako wewe mdau wetu ambaye umekuwa ukiperuzi tovuti yetu hii kila siku. lakini pia kama ungependa kujua huduma zetu za Mandai Herbalist Clinic unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment