Thursday, 30 July 2015

ALICHOSEMA JANUARI MAKAMBA BAADA YA LOWASSA KUHAMIA CHADEMA


Baada ya waziri Mkuu mstaafu Mh; Edward Lowassa kuhamia Chadema akitokea CCM kumekuwa na maoni ya watu mbalimbali kuhusu uamuzi wake huo.

Kutana na hii kauli ambayo ameitoa Mbunge wa Bumbuli na aliyekuwa mtangaza nia kugombea urais Tanzania Mh January Makamba.Unaweza kutangaza na tovuti hii sasa wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment