Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 10 July 2015

ANZA KUTUMIA GILIGILIANI ILI KUPATA FAIDA HIZI

Giligiliani ni moja ya kiungo ambacho kimekuwa kikitumika sana jikoni hasa na wenzetu Wahindi ndio wamekuwa wakionekana kutumia sana kiungo hiki katika kukamirisha mapishi yao mbalimbali.

Kiungo hiki kinsharufu nzuri na ladha ya uchachu kwa mbali, huku ikisifika kuwa na vitamin A, C, B6, B12 pia inamadimi, mengi ya chuma, kalsiuma na magnesium.

Giligiliani husaidia kurahisisha usagaji wa chakula mwilini na hutuliza tumbo pamoja na kuondoa gesi kwenye utumbo mwembamba.

Pia inazuia magonjwa ya tumbo ambayo husababishwa na bakteria aina ya salmonella, huku ikisaidia pia kuzuia kutapika.

Hali kadhalika giligiliani husaidia kupunguza mafuta mabaya mwilini, lakini pia ni chanzo kizuri cha nyuzinyuzi ambacho huweza kusaidia usagaji mzuri wa chakula pamoja na kutibu kuhara damu.

Ni vyema ikafahamika kwamba asilimia kubwa ya viungo tunavyotumia nyumbani katika mapishi yetu ya kila siku ni tiba ya magonjwa mbalimbali.

Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo yale sugu, wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 80, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment