Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 18 July 2015

BAADA YA MIAKA MIWILI TANGU KUTOKEA SHAMBULIO LA WESTAGATE NCHINI KENYA., HUU NDIO UAMUZI ULIOFANYWA LEO

Duka la westagate lililo mji mkuu wa Kenya Nairobi linatarajiwa kufungua milango yake hii leo kwa umma karibu miaka miwili tangu lishambuliwe na wanamgambo wa al shabab.

Watu 67 waliuawa wakati wa makabiliano ya siku nne wakati wanamgambo hao walipowafyatulia risasi wateja.

Duka hilo linafunguliwa wiki moja baada ya rais wa Marekani Barack Obama kufanya ziara nchini kenya hatua inayoonekana kama ishara ya imani kwa usalama wa nchini Kenya.

Hata hivyo, Al Shabab wameendesha mashambulizi mengine mabaya nchini Kenya tangu kutokea kwa shambulizi la Westgate likiwemo la chuo kikuu cha Garissa ambapo watu 150 waliuawa.

Unaweza kutangaza nasi kwa gharama nafuu sana tupigie simu namba 0716 300 200 au 0784 300 300 barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment