Friday, 17 July 2015

BREAKING NEWS: BANZA STONE AFARIKI DUNIA

Baada ya kuwepo kwa taarifa za mara kwa mara kuhusu msanii Ramadhani Masanja maarufu kama Banza Stone kufaariki leo kuna taarifa mbaya kuwa msanii huyo amefariki.

Banza Stone enzi za uhai wake
Banza Stone amefariki baada ya kuugua kwa kipindi cha muda mrefu.

Kwa taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea kadri zitakapokuwa zikitufikia

No comments:

Post a Comment