Thursday, 16 July 2015

DK. MANDAI ANAKUELEZEA UKWAJU NA UWEZO WAKE KATIKA KUTIBU KIKOHOZI NA KUTOA AHUENI KWA WENYE KISUKARI


Habari za leo mdau wa www.dkmandai.com karibu siku hii ya leo umsikilize Dk Abdallaha Mandai akieleza namna ukwaju unavyoweza kuwa tiba kwako.

Dk Mandai anasema kuwa ukwaju una nafasi kubwa ya kutibu kikohozi kikavu panoja na kubalance kiwango cha sukari mwilini hivyo huwa msaada mkubwa sana kwa wale wenye tatizo la kisukari.

Bonyeza hapa chini ili kumsikiliza Dk. Abdallah Mandai akizungumzia ukwaju

No comments:

Post a Comment