Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 11 July 2015

DK MANDAI ANAKUFAHAMISHA NAMNA KABICHI INAVYOWEZA KUTIBU BAWASIRI/ MGOLO


Kabichi ni moja ya mboga ambayo imekuwa ikitumika miongoni mwafamilia nyingi hapa nchini.

Matumizi ya kabichi kimsingi huwa na faida nyingi katika kuweza kutibu magonjwa mbalimbali,

Leo Dk Abdalllah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic anakufahamisha namna kabichi inavyoweza kutumika katika kutibu ugonjwa wa bawasiri au mgolo.
Kama una maswali au maoni unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 80, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment