Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Thursday, 2 July 2015

DK. MANDAI ANAKUPA HIZI FAIDA ZA MATUMIZI YA UKWAJU NA MDALASINI KATIKA TIBA


Dk. Abdallah Mandai ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic
Ukwaju ni moja ya mmea ambao unaladha ya uchachu na wengi wetu tumekuwa tukitumia zao la mmea huu yaani ukwaju wenyewe katika kutengenezea juisi.Lakini huenda huwa unatumia ukwaju na haufahamu kuwa unaweza kuwa ni tiba pia kwako, hivyo leo pata nafasi ya kumsikiliza Dk. Abdallah Mandai akielezea namna ukwaju unavyoweza kuwa tiba hasa pale unapochanganywa na mdalasini.

Mdalasini
Bonyeza 'Play' hapo chini ili kumsikiliza vizuri zaidi..

No comments:

Post a Comment