Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 3 July 2015

DK MANDAI ANAPENDA KUKUFAHAMISHA VYAKULA VYENYE UWEZO WA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME.


Dk. Abdallah Mandai
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni moja ya matatizo ambayo kwasasa yanawakabili wanaume wengi.

Moja ya sababu kubwa ambazo zinatajwa na wataalam kuwa huchangia tatizo hili ni pamoja na namna ya mtindo wa maisha likiwemo suala la ulaji wa vyakula, lakini pia hata ukosefu wa mazoezi.

Tabibu. Abdallah Mandai kwa kutambua ukubwa wa tatizo hili, leo ameona ni vyema akufahamishe baadhi ya vyakula ambavyo huwa na nafasi kubwa ya kumsaidia  mwanaume kuondokana na tatizo hilo.

Bonyeza play ili kumsikiliza Tabibu Mandai akitaja vyakula hivyo hapa chini ..
Kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali likiwemo hili tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tupigie simu namba, 0716 300 200, 0769 400 80, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment