Monday, 6 July 2015

DK MANDAI LEO ANAKUFAHAMISHA NAMNA MLONGE UNAVYOWEZA KUWASAIDIA WALE WENYE UPUNGUFU WA KINGA MWILI


Dk. Abdallah Mandai Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic
Mlonge ni mti ambao umekuwa ukisifika sana kwa uwezo wake wa kutibu magonjwa mbalimbali yanayotusumbua binadam.

Mti wa mlonge
Sifa za mti huu ni ule uwezo wake wa kila kitu kutumika kama tiba yaani kuanzia maua yake, matawi, magome, mbegu na hata mizizi yake.
Mlonge uliovunwa
Kimsingi mti huu unauwezo wa kutibu magonjwa mengi sana, lakini leo hii Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic anakufahamisha namna mti huu unavyoweza kuongeza kinga za mwili  kwa wale ambao wanaupungufu wa kinga hizo

Bonyeza 'play' ili kumsikiliza Dk Mandai akielezea kuhusu Mlonge
Kwa ushauri na matibabu zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa mawasiliana yafuatayo: 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300 Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment