Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 21 July 2015

DK. MANDAI LEO ANAKUFAHAMISHA JINSI YA KUTIBU MAGONJWA YA ZINAA KWA NJIA ASILI

Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic, Dk Abdallah Mandai

Habari za leo mdau wa www.dkmandai.com karibu katika kupeana taarifa mbalimbali kuhusu masuala ya afya.

Leo napenda upate kufahamu baadhi ya mimea ambayo ukichanganya kwa pamoja unapata tiba ya magonjwa ya zinaa.

Miongoni mwa vitu ambavyo utapasswa kuchanganya ni kinguu swaumu, kitunguu maji, karoti na spinachi.

Ili kupata uelewa zaidi wa namna ya kuandaa mchanganyiko huo unaweza kumsikiliz Dk. Abdallah Mandai hapa akikuleza namna ya kufanya ili kupata tiba hiyo. Bonyeza 'play' kumsikiliza.

No comments:

Post a Comment