Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 8 July 2015

DK.MANDAI ANAELEZA NAMNA MAJANI YA MLONGE YANAVYOWEZA KUWA MSAADA KWA WENYE KISUKARI
Habari za siku ya leo mpendwa msomaji wa www.dkmandai.com bila shaka unaendelea vyema kabisa, lakini kama haupo vizuri nikupe pole sana.

Wiki hii mara kadhaa Dk. Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic amekuwa akikuletea maelezo muhimu kuhusu umuhimu wa matumizi ya mlonge katika tiba.

Tayari ameshazungumzia mizizi na magome ya mlonge, lakini leo anakupa fursa ya kukujulisha kuhusu majani ya mlonge yanavyoweza kuwa tiba ya magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa kisukari.

Pata nafasi ya kumsikiliza Dk. Mandai hapa chini kwa kubonyeza 'Play' ili uweze kujua ni kwa namna gani majani ya mlonge huweza kutibu kisukari.No comments:

Post a Comment