Saturday, 18 July 2015

FAHAMU ALIYOYASEMA DK. MANDAI ALIPOPATA NAFASI YA KUZUNGUMZA KATIKA SALA YA EID UL- FITRI ASUBUHI YA LEO HAKUSITA KUVITAJA VIAZI


Leo Julai 18, 2015 waumini wa dini ya kiislam wanasheherekea sikukuu ya Idd Ul- Fitri baada ya kufunga mwezi mzima ikiwa ni moja ya ibada katika dini hiyo.

Tunasikiliza maelekezo
Dk. Abdallah Mandai ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic alialikwa kwenye moja ya msikiti uliopo maeneo ya Ulongoni kwa mzee Idd Sudy katika sala ya Iddi Ul- Fitri ambapo alipewa nafasi ya kuzungumza na waumini wa dini ya kiislam wa msikiti huo na kutoa somo la namna ya kukabiliana na tatizo la vidonda vya tumbo.
Waumini wakimsikiliza Dk. Mandai alipokuwa akiwaelekeza namna ya kujitibu vidonda vya tumbo ili mwakani waweze kushiriki funga vizuri na kwa ukamilifu

Moja ya tiba aliyoeleza ni kuhusu namna viazi mviringo vinavyoweza kusagwa na kutumika kama tiba au kumsaidia mtu mwenye shida ya vidonda vya tumbo.
Viazi mviringo

Pata nafasi ya kumsikiliza hapa Dk. Mandai alipokuwa akieleza namna ya kutibu vidonda vya tumbo kwa tiba asilia.

Baadhi ya picha katika ibada hiyo ya Eid Ul- Fitri
Viongozi mbalimbali wa msikiti huo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Dk. Abdallah Mandai

Dk. Mandai akisikiliza Mawaidha katika ibada ya Eid Ul- Fitri

Kama utakuwa unahitaji maelezo zaidi kuhusu somo alilotoa Dk. Mandai kuhusu vidonda vya tumbo unaweza kuwasiliana naye kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au email dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment